In Memorium – Late Nasser Yahya Sultan Al Wadhahi PBUH! Reply

 

Nasser Yahya Sultan Al Wadhahi

DOD – August 3rd 2018
Muscat Oman

Death Announcement
Notification – In English!

We are saddened to announce the death of our First Cousin Nasser Yahya Sultan Al Wadhahi at midnight Friday Royal Hospital in Bowsher Muscat in Coma State in ICU (Intensive Care Unit – EER!).

Nasser had come for a visit to Oman a few months back and fell very ill. His Mother Allah Rahmah Bi. Latifah bint Nasser is our aunt and father Allah Rahmah Yahya Sultan Al Wadhahi is our Uncle.

Marhem Nasser body is still in Royal Hospital with today being Friday and he has Tanzanian Passport.

Attempts are at hand to bury Marhem in Oman and bulletin will follow from Brother Mohamed Said Nasser Al Suleimany Mawaleh +968 99417250 including Gathering Masjid Men and Home Ladies.
Innah Illaihi Wa Innah Illaihi Rajuun

Al Hamdu Lillah!

Majid Said Nasser Al Suleimany

Notification – In Swahili!

Tangazo La Kifo!

Tunasikitika kutangaza kifo cha Marhemu Nasser Yahya Sultan kilichotokeya Hospital ya Royal Hospital Muscat Oman munamo saa 6 usiku wa Ijumaa August 3 2018.

Mpaka sasa maiti ya Marhem ipo Royal Hospital Muscat na haijulikaani kama atazikwa hapa Oman au maiti ya Marhem kusafirishwa kurudishwa Dar es Salaam Tanzania.

Itawezekana atazikwa hapa Oman ikiwa vyeti na rukhusa zitapatikana leo ikiwa Ijumaa.
Taarifa maelezo zaidi baadaye In Shaa Allah kwa Brother Mohamed Said Nasser Al Suleimany +968 99417250 Maawaleh

Kuna taratibu nyingi zinahitajika kwanza kumtoa Hospital kwa vyovyote vile ikikiwa kuzikwa Oman au kusafirishwa anyway!

Tangazo linatolewa na mimi ikiwa First Cousin upande wa Mama Shanghzi Marehemu Latifa bint Nasser na Marehemu Mjomba Yahya Sultan.

Innah Illaihi Wa Innah Illaihi Rajiuun

Mimi Majid Said Nasser Al Suleimany Muscat Oman. Samahani Kiswahili cha Ki Zamaani

The Film Utube